Nyota wa klabu ya Yanga SC, Obrey Chirwa amekabidhiwa zawadi yake aliyotakiwa aipate akiwa kama mchezaji bora wa mwezi oktoba.
Chirwa aliyefunga magoli 3 na kutoa pasi za magoli 2 amekabidhiwa hundi ya shilingi za kitanzania milioni moja (1,000,000/=) kama mchezaji bora wa mwezi oktoba. Zawadi aliyokabidhiwa na kampuni ya Vodacom inayodhamini ligi kuu hiyo ya Tanzania bara.
Post a Comment
Post a Comment