Baada ya kupatikana timu 32 ziakazotengeneza makundi 8 katika kombe la dunia huko nchini Urusi hapa nakuletea muhtasari wa shughuli ya upangaji makundi kwa timu hizo;
Shughuli itafanyika lini?
Shughuli ya upangaji makundi kwa timu 32 zilizofuzu zitafanyika tarehe 1 mwezi desemba mwaka huu.

Wapi shughuli itafanyika?
Upangaji wa makundi utafanyika huko State Kremlin Palace katika jiji kuu la nchi ya Urusi, Moscow

Kipi cha ziada kitafanyika?
Licha ya kutegemewa vingi kufanyika katika mashindano hayo lakini jambo kubwa tofauti na makundi hayo kupangwa ni atakayelibeba kombe la dunia kulipeleka mbele kabla ya upangaji huo haujaanza. Imethibitishwa kwamba Miroslav Klose, mfungaji bora wa muda wote katika kombe la dunia akiwa na timu ya taifa ya Ujerumani ndiye atakayelibeba kombe hilo. Lakini pia wageni wengine wanaotegemewa kushiriki tukio hilo watatangazwa zaidi.

Post a Comment
Post a Comment