Timu ya taifa ya Peru imefanikiwa kufuzu kucheza michuano ya kombe la dunia kwa mwaka 2018 itakayofanyika huko nchini Urusi.
Peru imefanikiwa kufuzu mara baada ya kuifunga New Zealand magoli 2-0, magoli yaliyofungwa na Farfan na Ramos na kuifanya timu hiyo ifuzu kwa mara ya kwanza toka mwaka 1982.
Kwa matokeo hayo inamaana, Peru imekuwa nchi ya mwisho kufanikiwa kufuzu na kutimiza idadi ya timu 32 zilizofuzu.
Hongereni Peru
Post a Comment
Post a Comment