Kipa nguli raia wa Hispania, Iker Casilass amesema anajivunia kuendelea kukaa benchi kwenye klabu ya FC Porto.

Michezo kadhaa iliyopita imeshuhudiwa Iker akikaa benchi na mwenyewe alipoulizwa kama anauchukuliaje uamuzi wa kocha wa kumweka nje mwenyewe alijibu;
"mi ni mchezaji, na timu haina wachezaji 11 tu na badala yake inabidi na wengine wapate nafasi kuonyesha vipaji vyao" alisema Casilass.

"na pia kukaa benchi naweza kujifunza na kugundua makosa mengi kuliko ukiwa uwanjani" alimalizia.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.