Kiungo mshambuliaji raia wa Algeria, Brahimi amesawazisha goli kwa dakika za majeruhi katika dakika ya 88 kwa mkwaju wa penati kuinusuru timu yake hiyo kufungwa na wakufunzi wa kombe la Dunia kwa bara la Afrika, Nigeria.

J. Ogu wa Nigeria ndiye aliyekuwa shujaa wa Nigeria mara baada ya kuipa bao la kuongoza na kufanya timu yake kuwa mbele kwa bao 1-0.

Lakini dakika za baadae kabisa kuelekea mpira kuisha ndipo Algeria waliposawazisha na kufanya mpira kuisha kwa sare ya 1-1.

Matokeo yanayowafanya Algeria kumaliza michezo ya kufuzu akishika mkia katika kundi lake akiwa na alama 2 huku Nigeria akiwa kileleni kwa alama 14.

Kesho kutakuwa na mchezo mwengine wa kundi hili kati ya Cameroon dhidi ya Zambia.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.