Unamkumbuka yule kocha mkali wa kuzinusuru timu kushuka daraja kutoka ligi kuu? anajulikana sana kwa sifa hiyo ambapo ameshawai kuziokoa klabu kama Sunderland na Crystal Palace.

Sasa kocha huyo maarufu kwa jina la Big Sam ambapo jina lake halisi ni Sam Allardayce sasa anatakiwa akaiokoe klabu ya Everton ambayo imekuwa na msimu mbovu ikikaribia katika timu tatu za chini kabisa.

Sam Allardayce anatakiwa na klabu ya Everton ambayo wiki iliyopita imetoka kupokea kipigo cha goli 4-1 kutoka kwa Southampton ili akaiongoze klabu hiyo iliyochini ya kocha msaidizi mara baada ya aliyekuwa kocha mkuu, Ronald Koeman kutupiwa virago kutokana na matokeo mabovu.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.