Winga wa klabu ya Real Madrid, Gareth Bale ataendelea kuwepo sana klabuni hapo mara baada ya wakala wake kutoa taarifa kwamba mchezaji anataka kuendelea kucheza Madrid.

Bale ambaye alisajiliwa na klabu hiyo kwa dau lililovunja rekodi ya dunia kwa kipindi hicho ambapo alisajiliwa kwa dau la paundi milioni 85 na amekuwa nje kwa kipindi kirefu kutokana na majeraha aliyoyapata ambapo siku ya leo amefanikiwa kurudi mazoezini mara baada ya kukaa nje kwa siku 63 kutokana na majeraha.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.