Mchezaji raia wa Uingereza, Adam Lallana ambaye amekuwa nje kwa muda kutokana na majeruhi sasa yupo tayari kurudi uwanjani.
Nyota huyo ambaye ni kiungo wa klabu ya Liverpool amekuwa nje kwa muda na sasa huenda akarudi muda wowote kuanzia sasa ambapo huenda kwenye mchezo dhidi ya Southampton nyota huyo akawepo uwanjani.
Lallana ameanza mazoezi katika kikosi cha kwanza hali ambayo inaonyesha kuimarika kwake na kukaribia kurudi uwanjani.
Post a Comment
Post a Comment