Straika wa zamani wa chelsea ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu ya uingereza Diego costa ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Atletico madrid huko hispania,amemwagia sifa kede kede straika wa chelsea mich batshuayi baada ya kufunga mabao mawili akitokea benchi na kuiwezesha chelsea kubeba pointi zote tatu dhidi ya watford..

Costa kwa kupitia akaunti ya twitter amekomenti kwenye picha ya batshuayi akisema 'Top michi' akimaanisha 'upo juu'

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.