Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Manyara, Joely Nyaka Bendera umesaagwa leo jijini Dar es Salaam na kutarajia kusafirishwa kupelekwa jijini Tanga kwa ajili ya mazishi.
Marehemu Joely Bendera aliwai kuzifundisha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars na klabu ya Simba SC.
Mitaani Forum tunachukua fursa hii kutoa pole kwa ndugu na jamaa au wale wote walioguswa kwa namna moja ama nyengine.
Post a Comment
Post a Comment