Katika uwanja wa London Stadium, klabu ya Chelsea imepoteza mchezo dhidi ya wagonga nyundo wa London, West Ham united kwa goli 1-0.
Chelsea imepoteza mchezo huo dakika ya 7 ya mchezo, goli likifungwa na Arnautovic na kufanya mpaka mchezo huo kuisha West Ham iliyochini ya David Moyes ikishinda na kuondoka na alama 3 muhimu.
Michezo mingine EPL;
Burnley vs Watford (saa 18:00)
Crystal Palace vs Bournemouth (saa 18:00)
Huddersfield vs Brighton (saa 18:00)
Swansea vs West Brom (saa 18:00)
Tottenham vs Stoke city (saa 18:00)
Newcastle vs Leicester (saa 20:00)
Post a Comment
Post a Comment