Mshambuliaji wa kimataifa wa Simba, raia wa Burundi Laudit Mavugo, amesema kutua kwa kocha Masud Juma, kumempa matumaini ya kupata nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo.


Mavugo amesema hiyo haitokani na kufahamiana kwa karibu na kocha huyo au kuwa raia wa taifa moja, bali ni kutokana na namna anavyomfahamu na uwezo wake.

mavugo alisema

"Nikocha mzuri mwenye uwezo ambaye naamini atamshauri vizuri boss wake Joseph Omog, na kunipa nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza mara kwa mara najua kucheza kwangu chini ya kiwango kunatokana na kutopata nafasi ya kucheza mara kwa mara," amesema Mavugo.


Mshambuliaji huyo aliyecheza mechi tatu mpaka sasa zote akitokea benchi, amesema yeye binfsi anajiamini ni mchezaji mzuri mwenye uwezo mkubwa wa kuisaidia timu yake lakini tatizo kubwa makocha waliopo walipoteza imani na yeye.


Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.