Ushindi wa barcelona wa bao 2-0 dhidi ya malaga umezidi kuwakita kileleni wababe hao wa hispania kwa point nne.
Mabao yaliyofungwa na deulefou ndani ya sekunde ya 113 ya mchezo na iniesta ndani ya dakika ya 52 yaliwapa ushindi huo barcelona katika mechi ambayo ilikuwa ya ushindani mkubwa.
deulefou ambaye tangu ajiunge na barcelona akitokea everton ya uingereza hakuwai kuifungia barcelona goli ndani ya michezo 13 aliyocheza mpaka hapa leo.
Ushindi huu unawaweka barcelona katika nafasi nzuri ya point 4 kileleni huku mahasimu wao wa jadi Real madrid wakiwa pionti 6 nyuma na mchezo mmoja mkononi watao ucheza hapo jumapili panapo majaliwa.
Post a Comment
Post a Comment