Katika habari inayomuhusu Ronaldinho Gaucho kustaafu, nilikuambia nitakuletea ukurasa mpya wa W5 au Wagambo 5.
Hapa nitakuelezea juu ya ukurasa huo mpya.
Wagambo 5 (W5) ni nini?
Wagambo 5 au W5 ni ukurasa utakaokuwa unakujuza mambo matano ambayo huyajui juu ya maisha yake ya soka na familia kabla hajawa nyota na dunia kumtambua kama nyota wa soka.
Ukurasa huu utakuwa unakuletea mambo hayo kwa mtiririko ambapo nyota wa kwanza kumtambua atakuwa ni Ronaldo de Assis Moreira au Ronaldinho Gaucho ambapo tutawachambua wagambo wake watano ambao alikuwa nao kabla hajawa mwanajeshi na dunia kumtambua.
Post a Comment
Post a Comment