Ni usiku mwengine wenye utamu na mbwembwe za soka la mabingwa wa Ulaya ambapo viwanja mbalimbali vitatimua vumbi kumenyana katika hatua ya makundi.
Baadhi ya timu zikiwa zishafuzu ila kucheza michezo ya leo ni kama wanakamilisha ratiba mfano ni Bayern Munich, Chelsea, Barcelona na PSG wakati wengine wakiingia uwanjani kucheza kutafuta ushindi ili zifuzu moja wapo ya timu hizo ni Manchester united ambao wenyewe wanahitaji alama moja tu ili waweze kufuzu.
Mechi za leo UEFA;
Manchester united vs CSKA Moscow
Benfica vs Basel
Chelsea vs Atletico Madrid
AS Roma vs Qarabag
Bayern Munich vs PSG
Celtic vs Anderlecht
Barcelona vs Sporting CP
Olympiacos vs Juventus
Post a Comment
Post a Comment