Kocha wa Atletico Madrid, Diego Simeone ambaye amekuwa akiiongoza klabu hiyo kwa muda mrefu amefunguka juu ya nyota wake, Antoinne Griezmann kuhusishwa kuondoka klabuni hapo.

"kama kuna mchezaji ambae anataka kuondoka klabuni hapa, basi haina tatizo, kama akinifata na kuniambia kwamba nahitaji kwenda kupambana sehemu nyengine basi mi nitamruhusu" alisema Simeone alipoulizwa juu ya tetesi zinazomuhusu Griezmann.

Griezmann ameonekana hana furaha klabuni hapo ambapo klabu kadhaa zimeshaonyesha nia ya kumtaka, ambapo klabu kama Manchester united na PSG zinatajwa kumuwania nyota huyo raia wa Ufaransa.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.