Timu ya taifa ya Zanzibar Heroes imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya Cecafa Chalenji mara baada ya kuwafunga mabingwa watetezi wa michuano hiyo, Uganda kwa magoli 2-1.
Zanzibar watacheza fainali dhidi ya Kenya ambao ni wenyeji wa mashindano hayo ambapo wametinga fainali mara baada ya kuifunga timu ya Burundi kwa goli 1-0.
Hongereni Zanzibar.
Post a Comment
Post a Comment