Kupitia kwa mwenyekiti wa usajili klabuni Yanga SC, Hussein Nyika amethibitisha kuwa klabu hiyo ipo mbioni kuyaweka sawa na mshambuliaji wa klabu hiyo, Donald Ngoma.

Donald Ngoma hakuwa na maelewano mazuri na klabu yake iyo akionekana kuwa na utovu wa nidhamu akisafiri kwenda nje ya nchi bila kutoa taarifa kwa klabu ingawa ana mkataba nayo.

Mwenyekiti wa usajili klabuni hapo ambao ni bingwa mtetezi wa ligi kuu Tanzania Baraa amesema "matatizo yaliyotokea kati yao kama klabu na nyota huyo ni ya kawaida na wanaweza kumsamehe"

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.