Nyota raia wa Tanzania ambaye ni mchezaji wa klabu ya Azam Sc, Himid Mao anatarajiwa kujiunga na klabu ya Bidvest Wits ya nchini Afrika kusini mara baada ya kuripotiwa kuwa nyota huyo ameshinda majaribio klabuni hapo.
Himid Mao ambae wiki iliyopita alichaguliwa kuwa mchezaji wa mwezi oktoba-novemba kwa klabu yake ya Azam Sc akishinda kwa kura 47% anatarajiwa kujiunga na klabu hiyo muda wowote kuanzia sasa.
Hongera Himid Mao (Ninja)
Post a Comment
Post a Comment