Klabu ya Simba Sc imetangaza kuachana na nyota wake ambaye alikuwa ni nahodha klabu hapo raia wa Zimbabwe, Method Mwanjali.
Simba imetangaza kuachana na nyota huyo ambaye amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara.
Kupitia kaimu makamu wa rais wa klabu ya Simba Sc, Idd Kajuna ameeleza kuwa wameamua kuachana na mlinzi huyo kutokana na majeraha yake nayeye mwenyewe amekubali kwa hilo na wamempatia haki zake zote anazostahili.
Post a Comment
Post a Comment