Mshambuliaji wa klabu ya Everton, Wayne Rooney ambaye ni mchezaji wa zamani wa Manchester united akifika Everton kwa mkopo ameshinda tunzo ya goli bora la mwezi Novemba.
Rooney amepata tunzo hiyo kutokana na goli alilolifunga katika mchezo wa ligi kuu Uingereza dhidi ya West Ham united ambapo siku hiyo alifunga mabao matatu (hat trick) huku akiiongoza timu yake iliyochini ya kocha Sam Allardayce kwa sasa kushinda magoli 4-0.
Hongera kwako Rooney. Goli hilo nimekuwekea video yake hapo chini.
Post a Comment
Post a Comment