Unai Emery, kocha wa PSG ametangaza kikosi cha wachezaji 18 ambao watakuwa tayari kumenyana na Lille hapo kesho kwenye ligi kuu Ufaransa maarufu kama Ligue 1.
Kikosi hicho kitawakosa nyota wake Neymar JR. ambae ana adhabu ya kadi nyekundu wakati Thiago Silva na Thiago Motta wataukosa mchezo huo kutokana na majeraha.
Post a Comment
Post a Comment