Nyota wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo leo amefika katika uwanja wa Santiago Bernabeu akiwa na tunzo zake tano za mchezaji bora (Ballon d'or)  alizoshinda huku akiiongoza klabu yake katika ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Sevilla huku mwenyewe akifunga mara mbili.

Real Madrid imeshinda 5-0 dhidi ya Sevilla katika mchezo wa ligi kuu huku magoli yakifungwa na Ronaldo mara mbili, Nacho, Toni Kroos, na Achraf aliyefunga goli lake la kwanza kikosini hapo.

Kwa ushindi huo unaifanya Real Madrid kupunguza pengo la alama nane dhidi ya vinara Barcelona na kufikia alama tano.

Matokeo mengine La Liga;
Getafe 0-0 Eibar.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.