Klabu ya Tottenham Hotspur, leo imepata ushindi mnono mara baada ya kukosa ushindi katika michezo mitano.
Tottenham iliikaribisha klabu ya Stoke city katika uwanja wa Wembley na ikaibaragaza magoli 5-1 klabu hiyo iliyochini ya kocha Mark Hughes.
Magoli ya Tottenham yakifungwa na Heung Min Son, Harry Kane aliyefunga mara mbili pamoja na Eriksen huku jengine mlinzi wa Stoke city akijifunga mwenyewe kabla ya kufunga tena, kuipatia goli la kufutia machozi klabu yake na kufanya mchezo kuisha kwa Tottenham kushinda 5-1.
Matokeo mengie EPL;
Burnley 1-0 Watford
Crystal Palace 2-2 Bournemouth
Huddersfield 2-0 Brighton
Swansea 1-0 West Brom
Mchezo unaoendelea kwa sasa;
Newcastle 0-0 Leicester
Post a Comment
Post a Comment