WWE: KUELEKEA SURVIVAL SERIES NOVEMBER 19,TEAM RAW VS TEAM SMACKDOWN
Katika WWE mechi ya survivor series patakua hapatoshi ambapo gwiji wa zamani wa mieleka ambaye kwa sasa ndiye Raw general meneja atakuwa team captain wa Team Raw pale watakapovaana novemba 19 huku mtoto wa mwemyekiti wa WWe shane mcmahon ambaye kwa sasa ndiye kamishina wa Smackdown atakuwa teaam captain wa smackdown
Post a Comment
Post a Comment