Kocha wa Newcastle, Rafa Benitez ameikandia Manchester utd mara baada ya kushuhudia timu yake ikikandwa magoli 4-1 na timu hiyo ya Mashetani Wekundu.

Kocha Rafa alipohojiwa kuhusu kiwango cha kiungo wa Man utd, Paul Pogba
"ni nyota mzuri na ana uwezo mkubwa lakini haitokuwa sawa tukisema yupo sawa" alisema Benitez alipoulizwa kama nyota huyo anafanana na kiungo wa zamani wa klabu ya Liverpool, Steven Gerrard ambaye Benitez alikuwa kocha wake.

"bado anahitaji muda zaidi kufikia viwango vya akina Gerrard, inambidi akae kwenye kiwango kikubwa katika soka kwa miaka 10 mpaka 15 ndio tumweke nafasi moja na Gerrard, ila sio kwa sasa" alisema Benitez

Paul Pogba aliiongoza Man utd kupata ushindi dhidi ya Newcastle baada ya kukaa nje kwa muda mrefu kutokana na majeraha, ambapo katika mchezo huo alifunga goli moja na kutengeneza jengine.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.