Takwimu zilizofanywa na International Union for Conservation of Nature (IUCN) imebaini kwamba toka mwaka 2006 zaidi ya tembo 100,000 wamepoteza maisha kwa kuuliwa na majangili kwa ajili ya meno yao. Katika sensa iliyofanyika hivi karibuni Tanzania imebainika kuwa na jumla ya tembo 42,871 ikiwa ni nchi ya tatu kati ya nchi za Afrika zenye tembo wengi.
Shime Watanzania wenzangu tuungane kupigana na uuaji wa wanyama pori... Pamoja Tunaweza....
Post a Comment
Post a Comment