Kocha wa Liverpool raia wa Ujerumani, Jurgen Klopp amefanya mkutano na waandishi wa habari kuelekea katika wiki ya michezo ya ligi kuu mara baada ya ligi hiyo kusimama kwa wiki moja kupisha ratiba ya FIFA ipite.
Katika mkutano huo, amemsifia nyota wake Mohammed Salah ambaye amesajiliwa msimu huu klabuni hapo akitokea As Roma ya Italia kwa dau la paundi milioni 40.
"ni mchezaji mzuri, na mwenye hali ya kupambana, lakini inabidi apambane zaidi ili aonyeshe ubora wake" alisema Klopp.
Salah amekuwa na msimu mzuri katika ligi hiyo anayoichezea mara ya pili ambapo kabla alishawai kuichezea klabu ya Chelsea kabla ya kuuzwa kwenda As Roma. Mpaka sasa Salah ambaye amechaguliwa kuingia kwenye tunzo za mchezaji bora kutoka Afrika inayotolewa na BBC.
Liverpool itamenyana na Southampton katika mchezo wa wiki hii huku Henderson, Lallana na Sadio Mane wakitajwa kurudi baada ya majeruhi.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.