Klabu ya mpira wa kikapu (basketball) ya wilaya ya Mbagala Rangi 3 inauhitaji wa mwalimu au kocha wa mchezo huo na mwalimu wa mchezo wa netball.
Klabu hiyo iliyochini ya diwani wa Mbagala inatafuta mwalimu huyo ili aweze kuiendesha kushiriki katika mashindano mbalimbali na kocha wa mchezo wa netball ambaye yeye atakuwa akiwasaidia wanafunzi wa kike wa shule za msingi na hata za sekondari.
Kwa mawasiliano zaidi kama unahitaji kutoa msaada kama kocha au hata wa hali na mali kwa klabu hiyo, wasiliana nasi kwa simu namba +255629964908
Post a Comment
Post a Comment