Aliyekuwa mchezaji wa Chelsea na timu ya taifa ya Uruguay ambaye kwa sasa ni kocha wa klabu ya Shangai Shenhua, Gus Poyet ametoa sifa kwa mchezaji wa Chelsea, N'golo Kante.
Gus Poyet amesema ni kweli kuna viungo wengi duniani haswa ulaya ila nachokiona, hakuna kiungo bora kwa sasa kama N'golo Kante.
Kante ambaye ni mchezaji bora wa ligi kuu msimu uliopita akiiongoza Chelsea kutwaa taji la ligi kuu.
Post a Comment
Post a Comment