Klabu ya Juventus ya nchini Italia imepanga kupeleka maombi ya kumsajili kinda wa klabu ya Barcelona, Mateu Morey mwenye miaka 17.
Mateu alianza kuzifutia klabu kubwa duniani mara baada ya kufanya vizuri katika michuano ya kombe la dunia ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ambapo kinda huyo aliiongoza timu ya Hispania.
Mateu ni zao la akademi ya Barcelona ya La Masia na amekuwa akicheza vyema sana nafasi ya mlinzi wa kulia.
Post a Comment
Post a Comment