Kuelekea katika mchezo wa leo usiku kati ya Juventus dhidi ya Barcelona katika kundi D, klabu ya Juventus imetangaza kumkosa nyota wake Giorgio Chiellini.
Chiellini mwenye miaka 33 ataukosa mchezo wa leo kutokana na majeraha aliyoyapata akiwa mazoezini na klabu yake kupitia mtandao wa Twitter kutangaza kukosekana kwa nyota huyo usiku wa leo.
Post a Comment
Post a Comment