Winga na mshambuliaji wa Everton, Yannick Bolasie amerejea mazoezini leo kufanya mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi ya Atalanta utakaochezwa kesho katika michuano ya Europa League, mchezo utakaochezwa saa 23:05.
Bolasie alikaa nje miezi kwa 11 na leo kurejea kwake mazoezini ni kama kumeibua hali mpya kwa nyota huyo.
Post a Comment
Post a Comment