Chama cha soka Uingereza (UEFA) kimechagua orodha ya wachezaji 50 wanaocheza katika bara la Ulaya. Wachezaji hao watapambana kuingia katika kikosi bora kitakachochaguliwa na chama hicho.
Ambapo wachezaji hao wamegawanywa katika nafasi nne tofauti ambapo kuna walinda mlango, walinzi, viungo na washambuliaji.
Post a Comment
Post a Comment