Mchezaji na mmiliki wa klabu ya nchini Marekani, Phoenix Rising FC ambaye ni mchezaji mkongwe wa Chelsea, Didier Drogba ametangaza kuachana na soka.
Drogba ambaye ana hisa katika klabu hiyo ya nchini Marekani ametangaza kuachana na soka mwakani, mwaka 2018 mara baada ya kucheza soka kwa mafanikio nchini kwao Afrika, Ivory Coast na Ulaya haswa akiisaidia kubeba mataji klabu iliyomtambulisha zaidi na kumpa heshima kubwa duniani, Chelsea.
Post a Comment
Post a Comment