Mlinzi wa kulia wa klabu ya PSG ambaye ni raia wa Brazil, Dani Alves ametoa kali mara baada ya kusema Gabriel Jesus ambaye ni mbrazil kwamba ana uwezo zaidi ya Ronaldo.
Dani Alves alisema "Naamini Gabriel ana uwezo mkubwa na atakuja kufunga magoli mengi kuliko hata Ronaldo (de Lima)"
Ronaldo de Lima ambaye ni mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil akizichezea klabu kongwe kama AC Milan na Barcelona aliifungia Brazil magoli 62 katika michezo 98 na aliwai kuwa mfungaji bora wa muda wote katika michuano ya kombe la dunia kabla ya Miroslav Klose wa Ujerumani kuivunja rekodi hiyo. Na rekodi yake katika ngazi ya vilabu akiwa amefunga magoli 242 katika michezo 343.
"Gabriel ana miaka 20 tu lakini watu wanamtazama kama mchezaji tegemeo katika timu" alisema Dani Alves ambaye anaichezea klabu ya PSG.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.