Timu ya taifa ya Italia ikiongozwa na kocha Ventura, imemwaga machozi kutokana na mlango mbovu walioingia.

Italia kwa mara ya kwanza imeshindwa kufuzu kucheza kombe la dunia, ni miaka 60 imepita toka timu hiyo kushindwa kufuzu, mwaka 1958.

Katika uwanja wa San Sirro ndipo ndoto za Italia kucheza kombe la dunia zimefia, zikizimwa na timu ya Sweden iliyokuwa inacheza bila nyota wake, Zlatan Ibrahimovic ambapo mchezo huo umeisha suluhu ya 0-0 kabla ya Sweden kufuzu kutokana na kuwa na faida ya goli moja alilolifunga...

Sweden yafuzu kucheza kombe la dunia, wakati Italia ikilia kwa kukosa nafasi hiyo.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.