Mshambuliaji wa Argentina na timu ya klabu ya Manchester city, Kun Aguero amepata majanga katika mchezo wa kirafiki uliowakutanisha Argentina dhidi ya Nigeria na kushuhudiwa Argentina ikifungwa kwa magoli 4-2.
Ever Banega wa Argentina alianza akafatiwa na Aguero aliyefunga mara mbili.
Wakati wa mapumziko taarifa zinasema Aguero alidondoka na kupoteza fahamu wakati wakiwa vyumbani muda wa mapumziko, na ndipo mshambuliaji huyo akakutwa na majanga hayo na kuwaishwa hospitali.
Huenda kama hali ikiiendelea kuwa mbaya basi Aguero huenda akakosekana kutokana na majeruhi itambidi kocha wa Man city akubali kucheza dhidi ya Leicester uwanjani King Power.
Post a Comment
Post a Comment