Straika wa real madrid gareth bale alinakiza dakika chache tu kujiunga na mashetani wekundu wa uingereza manchester united.

Maneno haya yamesemwa na aliyekuwa kocha wa zaman wa man u mskochi David moyes alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari

"Nilikuwa na makubaliano ya awali na Toni kross pia na Gareth bale na tulitoa fedha nyingi kuliko madrid lakini teari bale alikuwa ashafanya maamuzi ya kujiung ana rea"

Pia moyes alisema kuwa walijaribu pia kumsajiri Cristiano ronaldo na Cesc fabregas

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.