Mabaki na miili ya watu 11 imepatikana bila kuwepo kwa ripoti yeyote juu ya watu wengine.
Ndege hiyo aina ya TU-164 iliyokuwa imebeba wanajeshi ,waandishi wa habari pamoja na watu wengine 64 dakika mbili kabla ya kupata ajari ilipoteza mwelekeo wake katika radar.
Zaidi ya waogeleaji 100 bado wapo ndani ya maji wakiendelea kuwasaka watu hao waliopotea.
Raisi putin amesema siku ya jumatatu itakuwa siku ya maombolezo ya taifa
Post a Comment
Post a Comment