Kocha mkuu wa Manchester united, Jose Mourinho amsifia kiungo wake aliyesajiliwa na miamba hiyo ya Uingereza Paul Pogba na kusema ni kiungo bora wa dunia kwa sasa.
Mourinho ambaye pia ni maarufu kwa kujiita "special one" alisema maneno hayo jana baada ya kukutana na waandishi wa habari alipochomoza na ushindi wa goli 3-1

Post a Comment
Post a Comment