Usiku wa leo ni mwendelezo wa michezo ya soka katika mataifa kadhaa barani ulaya.
Lakini pale Uingereza nchi ya Malkia Elizabeth kuna mechi za mwendelezo wa kombe la EFL Cup. Watoto wa Mourinho au special one kama anavyopenda kujiita, Manchester United watakwaana na Northampton, mechi ambayo itakuwa na mashabiki wengi wakitaka kujua je Man utd wataweza kurudisha makali yao baada ya hivi karibuni kupoteza michezo mitatu mfululizo dhidi ya Manchester City iliyo chini ya Pep Guardiola, wakafungwa tena na Feyenoord katika kombe la Europa na wikiendi iliyopita kupoteza tena dhidi ya Watford.
Michezo mingine ya EFL
Fulham vs Bristol city
QPR vs Sunderland
Southampton vs Crystal Palace
Swansea vs Manchester City
West Ham united vs Accrington
Stoke city vs Hull city
Tottenham hotspur vs Gillingham
Fulham vs Bristol city
QPR vs Sunderland
Southampton vs Crystal Palace
Swansea vs Manchester City
West Ham united vs Accrington
Stoke city vs Hull city
Tottenham hotspur vs Gillingham
Lakini pia katika nchi ya Hispania kutakuwa na michezo mikali sana, yaani
Barcelona vs Atletico Madrid
Real Madrid vs Villareal
Barcelona vs Atletico Madrid
Real Madrid vs Villareal
Post a Comment
Post a Comment