Alvaro Morata ambaye kwa sasa anaichezea Real Madrid timu ambayo alianza kuichezea kabla ya kutimkia Juventus. Amefichua kwamba Chelsea ilitaka kumsajili katika usajili wa dirisha kubwa kwa ada ya £60 Milioni lakini ilikuwa ni ndoto zake kurejea Real Madrid.
Real Madrid wametumia £23 Milioni kumsajili Morata.
Post a Comment
Post a Comment