Mcheza kandanda raia wa Ivory Coast Serge Aurier, ambaye anaichezea klabu ya Paris St-Germain (PSG), amehukumiwa kifungo cha miezi miwili jela kwa kumgonga afisa wa polisi.
Aurier pia alipigwa faini ya dola 674 kutokana na kisa hicho kilichotokea kwenye klabu ya burudani mwezi Mei mjini Paris.
Hata hivyo atabaki kuwa huru akisubiri rufaa, ikiaamsiha kuwa nawza kuichezea PSG katika ligi ya mabingwa siku ya Jumatano.

Ikumbukwe pia Aurier alishawai kumshutumu kocha wake Blanc pamoja na Ibrahimovic kwamba wanajihusisha na ushoga.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.