Arsenal imekubali kipigo cha bao moja kwa bila kutoka kwa mabingwa watetezi wa ligi iyo Chelsea inayonolewa na mdachi Guus Hiddink. Vigogo hawa wa London walikutana majira ya jion katika moja ya mechi kali ya Ligi ambapo Mnamo dakika ya 18 ya kipindi cha kwanza arsenal ilipata pigo kwa kumpoteza beki wake merteseker kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu mbaya Diego costa ambaye alikuwa alielekea kushind
Dakika 5 baadae chelsea ilipata bao la ushindi lililofungwa na diego costa ambalolimw wapandisha chelsea mpaka nafasi ya 13 na kuwaacha arseal nafsi ya 3.Arsenal haijapata matekeo mazuri dhidi ya chelsea kwa misimu mitatu mfululizo sasa
Post a Comment
Post a Comment