Leo baada ya nyota wa zamani wa klabu ya Barcelona, Ronaldinho kutangaza kuwa atastaafu soka mwaka kesho, basi nitakuletea historia ya maisha yake katika ukurasa mpya utakaokuwa unakujuza maisha ya mastaa wa soka duniani kote, utaitwa W5.
Jiandae kupata burudani na kuyajua mengi utakaopatikana humuhumu Mitaani Forum.
Post a Comment
Post a Comment