Kocha wa klabu ya Manchester city, Pep Guardiola ametoa neno kuhusu kuelekea mchezo ujao wa ligi kuu Uingereza ambapo atamenyana dhidi ya Manchester united inayoshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo, huku kileleni akiwa Manchester city.

Mchezo huo utachezwa mwishoni mwa wiki hii ingawa Guardiola amehuzunishwa kwa mpinzani wake kucheza mchezo huo bila ya nyota wake Paul Pogba.

"nimeuzunishwa kwa kukosekana kwa Pogba, napenda kukutana na timu yenye nyota wake" alisema Pep Guardiola.

Paul Pogba ataukosa mchezo dhidi ya Manchester city mara baada ya kupata kadi nyekundu katika mchezo dhidi ya Arsenal na kumaanisha ataikosa michezo mitatu ukiwemo huu wa Manchester city.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.