Hatimaye sasa makundi ya kombe la dunia 2018 yameshapatikana na sasa inamaanisha kufunguliwa rasmi kwa michuano ya kombe la dunia itakayofanyika mwaka 2018 mwezi juni huko nchini Urusi.
Kundi A;
Urusi | Saudi Arabia | Uruguay | Misri
Kundi B;
Ureno | Hispania | Morocco | Iran
Kundi C;
Ufaransa | Australia | Peru | Denmark
Kundi D;
Argentina | Iceland | Croatia | Nigeria
Kundi E;
Brazil | Costa Rica | Serbia | Switzerland
Kundi F;
Ujerumani | Mexico | Sweden | Jamhuri ya Korea
Kundi G;
Uingereza | Ubelgiji | Panama | Tunisia
Kundi H;
Poland | Senegal | Colombia | Japan
Miroslav Klose akiwa na kombe la dunia leo kwenye shughuli ya upangaji makundi
ya kombe la dunia itakayofanyika nchini Urusi mwaka 2018

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.