Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ambaye ni raia wa Ujerumani amekubali yaishe kwa kuikabizi ubingwa klabu ya Manchester city ambayo ipo kwenye moto ikiwa inaongoza msimamo ikiwa na alama 49.

Jurgen Klopp alisema "sioni klabu yoyote ikipambana dhidi ya Man city katika kugombania ubingwa zaidi ya kuona Man city wakitangazwa kuwa mabingwa mapema. Liverpool nasi pia tunapambana kumaliza nafasi ya pili, kama ilivyo kwa Man utd"

Manchester city imeshinda michezo 16 kati ya 17 ambapo huo mchezo mmoja walitoa suluhu na hawajashuhudia wakifungwa mpaka sasa wakati ligi inaelekea raundi ya 18.

Jurgen Klopp ameiongoza Liverpool inayoshika nafasi ya tano mara baada ya kufululiza ikipata suluhu.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.