Kuelekea wiki ya nguvu ambapo utachezwa mchezo mkubwa nchini Hispania katika ligi kuu nchini humo kati ya Real Madrid itakayoikaribisha Barcelona, mchezo ambao ni maarufu kwa jina la El Classico nyota wa Barcelona, Gerrard Deulofeu ataukosa mchezo huo utakaochezwa wiki ijayo tarehe 23 ambapo itakuwa ni jumamosi.
Deulofeu ataukosa mchezo huo pamoja na wa wiki hii ambapo itamenyana na Deportivo la Coruna kabla ya huo wa El Classico wiki ijayo kutokana na kupata majeruhi akiwa mazoezini.
Post a Comment
Post a Comment